“Wazee wa Mila Tarime Wasichana Msikubali Kwenda Kukeketwa”



Wazee
wa Mila Muungano wa Koo 12 wakiwa kwenye Kikao cha Pamoja katika Koo ya
Busweta katika Kijiji cha Kewamamba Kata ya Kiore lengo ni Kuenndelea Kutoa Elimu ya Kupiga Vita suala la
Ukeketaji kwa Mtoto wa kike pamoja na kuondoa Miiko inayokandamiza Mtoto
wa Kike ambaye hajakeketwa.

Mzee
wa Mila akisalimiana na Sister Stella Mgaya ambaye ni Mkurugenzi wa
shirika la ATFGM Masanga ambao wanapiga Vita Ukatili wa kijinsia kwa
lengo la kukomboa Mtoto wa Kike ambaye amekuwa akikeketwa kutoka na Mila
na desturi ambazo kwa sasa zimepitwa na Wakati



Baadhi
ya wanafunzi wa Shule za Msingi ambao mara nyingi ni Wahanga wa
Ukeketaji wakisiliza Elimu inayotolewa na Wazee hao wa Mila.


                ,,,Tazama video kupata habari Kamili hapa,,,
Powered by Blogger.