Diwani wa CCM Komote awakatia wanachi 1860 Bima ya Afya
Diwani wa kata ya Nkende CCM Daniel Komote akiongea na wanchi wake baada ya kukabidhi mfano wa hundi shilingilingi Millioni tatu kwa ajili ya kulipia Mifuko ya jamii CHF wakiwemo wenyeviti wa mitaa 16 bila kujali itikadi za vyama vya kisiasa. |
Katibu Tawala Wilaya ya Tarime John Marwa na Mkurugenzi Halmashauri ya Mji wa Tarime kutoka kulia Elias Ntiruhungwa wakiwa katika zoezi hilo la kukabidhi Kadi za Bima ya Afya kwa wananchi wa kata ya Nkende Halmshauri ya Mji wa Tarime. |
Mganga Mkuu Hospitali Halmashauri ya mji wa Tarime Calvin Mwasha akitoa elimu kwa wananchi juu ya umhimu wa kujiunga na Mifuko ya Jamii. |
Mkurugezni wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Elias Ntiruhungwa akiongea na Wanachi wa kata ya Nkende. |
Katibu Tawala Wilaya ya Tarime John Marwa ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Mkuu wa wilaya ya Tarime Glorious Luoga akiongea na wananchi hao na kuimiza viongozi kuendelea kutoa elimu kwa wananchi kujiunga na Mifuko ya jamii. |
Katibu Tawala John Marwa akikabidhi kadi za bima ya Afya kwa wanufaika |
Hundi ya Mfano yenye thamani ya shilingi Millioni tatu . |