Mwenge wa uhuru washiriki kufyeka Shamba la bangi Tarime Mkuu wa wilaya ...
| Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Katikati Amour Hamad Amour akifyeka bangi katika Shamba la mmoja wa wananchi kijiji cha Remagwe kata ya Regicheri Wilayani Tarime Mkoani Mara. |
| Shamba kabla halijafyekwa. |
| Mwenge wa Uhuru ukielekea katika shaba la bangi |
| Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akionesha baadhi ya mashamba ambayo yalikuwa yakilimwa zao la bangi kwa sasa yanalimwa mazao mengine. |
| Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime kulia akikabidhi Mwenge wa uhuru Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa |
| Mkuu wa wilaya ya Tarime Kushoto Glorious Luoga akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa. |
| Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa |
Katibu Tawala Wilaya ya Tarime John Marwa akipokea Mwenge wa Uhuru.
| Mkuu wa kikosi cha Usalama Barabarani Tarime Rorya Joseph Bukombe akipokea Mwenge wa Uhuru. |