Shirika la RIGHT TO PLAY Watumia Michezo kufikisha Elimu ya Kupinga Ukat...



Wanafunzi
wa Shule za Msingi Mangucha, Nyandage, Nyamombara na Kegonga wakiwa na
Bango lenye Ujumbe wa kupinga Mila Potofu katika Jamii ikiwa ni pamoja
na kulinda haki ya Mtoto wa Kike.

Shirika la RIGHT TO PLAY
wameweza kufikisha Elimu hiyo  ya kupinga Masauala ya Ukatili wa
Kijinsia kupitia Michezo,Kama vile, Mpira wa Miguu kwa watoto wa kike,
Nyimbo, Ngonjera , Maigizo lengo ni kufikisha ujumbe uliokusudiwa kwa
Jamii katika Shule Nne zilizopo kata ya Nyanungu wilayani Tarime Mkoani
Mara.

Wanafunzi wakiwa na Mabango Yenye Ujumbe Mbalimbali.


Wanafunzi wakifikisha Elimu ya kupiga Vita Ukatili kupitia Nyimbo.


Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nyamombara wakiingia Uwanjani kwa lengo la kutumbuiza Ngonjera

                                  Ngonjera.

Wananchi wa kata ya Nyanungu wakifuatilia Michezo mbalimbali katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mangucha.




Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nyamombara wakishangilia baada ya Ushindi.



Wasichana
wakicheza Mpira wa Miguu ambapo Timu ya Shule ya Msingi Nyamombara
wameibuka washindi kwa bao 3-2 dhidi ya timu ya Nyandage Shule ya Msingi
huku Mangucha wakichuana Vikali na Kegonga mbapo Mangucha wameibuka
washindi kwa bao 2-1 pia timu zote zilitoka bila kufungana na kuapiga
Mikwaju ya Penariti.



Fainali zimeingia Timu mbili baina ya Mangucha na Nyamombara ambapo Wameibuka Washindi kwa bao 2-1 dhidi ya Nyamombara.

      ,,,Tazama Video kupata habari Kamili,,,


Powered by Blogger.