AUAWA BAADA YA KUINGIA KATIKA BENKI YA NBC TAWI LA TARIME
Kamanda wa polisi Mkoa wa Polisi Tarime Rorya SACP Henry Mwaibambe akiongea na waandhi wa habari kuhusu tukio hla Mtu mmoja ambaye hajafaamika jina aliyejeruhiwa kwa risasi na Askari Polisi na badae kufariki dunia |
Mtu Mmoja ambaye hajafaamika jina Mwenye Umri wa Miaka kati
ya 30-35 ameuawa kwa kujeruhiwa na Rsisi
na Askari Polisi baada ya kuingia katika Banki ya NBC tawi la Tarime
usiku majira ya saa sita na Dakika Nne katika nji za kutatanisha.
ya 30-35 ameuawa kwa kujeruhiwa na Rsisi
na Askari Polisi baada ya kuingia katika Banki ya NBC tawi la Tarime
usiku majira ya saa sita na Dakika Nne katika nji za kutatanisha.
Kamanda mkoa wa kipolisi Tarime na Rorya,Henry
Mwaibambe amewambia waandishi wa habari
Ofisini kwake kuwa marehemu kabla ya tukio aliingia ndani ya Banki ya NBC kwa
njia ya kutatanisha ambapo alipitia tundu lililo karibu na ATM.
TAZAMA VIDEO KAMANDA AKIFAFANUA TUKIO HILOMwaibambe amewambia waandishi wa habari
Ofisini kwake kuwa marehemu kabla ya tukio aliingia ndani ya Banki ya NBC kwa
njia ya kutatanisha ambapo alipitia tundu lililo karibu na ATM.