Mbunge
wa Bunda Mjini Ester Bulaya aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya
Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara baada ya hali yake ya kiafya
kubadilika akiwa Rumande sasa bapewa rufaa ya kupelekwa Hospitali ya
Mkoa ili aweze kupelekwa Hospitali kubwa |