Mabinti 80 wakiwemo Wanawake walikumbwa na Ukatili Tarime wapewa Mafunz...



Emmy
Mwami ambaye ni Mseminishaji Masuala ya Ujasiriamali akitoa Mafunzo kwa
Mabinti na Wanawake 80 Kutoka Kata 10 Tarime Vijijini ili kuwajengea
Ujuzi kwa lengo la kijiendeleza ili kuondokana na Ugumu wa Maisha huku
baadhi yao wakiwa Mabinti ambao wamekumbwa na suala la ukeketaji pamoja
na Ndoa za Utotoni.

Mabinti 80 kutoka Kata 10 wakiendelea kupata Mafunzo ya Ujasiriamali kwenye Ukumbi wa MCN Mjini Tarime Mkoani Mara.



.             .......Tazama Video kupata habari Kamili.....
Powered by Blogger.