Video:Waziri wa Kilimo Dk Tizeba atoa maagizo kwa Wakurugenzi Mkoani Mara


Waziri
wa Kilimo Chakula na Ushirika Dk Charles Tizeba akiongea na
Wakulima,Wanaushirika na Viongozi wa Serikali Mkoa wa Mara katika Ukumbi
wa Shule ya Sekondari JK Nyerere Wilaya ya Tarime ambapo ametoa
Maagizo kwa Wakurugenzi kwa Lengo la Kuboresha zao la Kahawa.

Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima akiteta jambo na Waziri wa Kilimo Dk Charles Tizeba.

Wakurugenzi
wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, Tarime, Mjini na Vijijini, Rorya
pamoja na Butiama wakisiliza Maagizo ya Waziri huyo.

Wakuu wa Wilaya Wakisikiliza Waziri huyo.

Wakulima pamoja na Wanaushirika na Viongozi mbalimbali wakiwemo Madaiwani wakisiliza Waziri wa Kilimo.


Mkuu
wa Mkoa wa Mara Adam Malima akizungumzia Mikakati ya Mkoa kuhusu zao la
kahawa ambapo amesema kuwa Mkoa unatarajia kuzalisha kahawa kutoka tani
Elfu Mbili Elfu kumi kwa Mwaka.

Diwani
wa kata ya Nyamwaga na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime
Moses Yomam akieleza Mikakati ya Halmashauri katika kuongeza uzalishaji
wa zao la kahawa.

,,,Tazama Video hapa chini Waziri wa kilimo alichokisema ,,
Powered by Blogger.