Wakuu wa Wilaya Mkoa wa Mara walichokisema kwa Waziri wa Kilimo Dk Tizeb...
Mkuu
wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga ambaye alikuwa Mwenyeji wa wakuu wa
Wilaya za Rorya, Serengeti, Butiama akiongea katika Kikao cha Waziri wa
Kilimo Dk Charles Tizeba kilichofanyika katika Ukumbi wa Shule ya
Sekondari Jk Nyerere, ambapo wakuu wa Wilaya hao wameeleza kile
wanachoenda kufanya baada ya Maagizo ya Waziri huyo katika uzalishaji wa
zao la kahawa.
Mkuu wa Wilaya ya Butiama Annarose Nyamubi akieleza Mikakti ya Wilaya yake katika uzalishaji wa Kahawa.
,,Tazama Video hapa chini Wakuu wa Wilaya Mkoa wa Mara walichokisema kwa Waziri wa kilimo,,,