Apoo Castro Tindwa Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Tarime azidi kula...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Mkoani Mara Apoo Castro Tindwa akiongea katika Mahafali ya kwanza Shule ya Wasichana kidato cha tano na sita Borega ambapo alikiuwa mgeni rasmi, Mkurugenzi huyo amezidi kuhasa jamii kuondokana na suala zima la Ukeketaji kwa mtoto wa kike ili aweze kutimiza ndoto zake za kupata Elimu. |
Wahitimu wa kidato cha Sita shule ya wasichana Borega iliyopo wilayani Tarime Mkoani Mara. |
Burudani. |
Tunsubilege Lukasa Mwalimu Mkuu shule ya Wasichana Borega akisoma risala kwa mgeni rasmi. |
,,,,,Tazama Video kupata habari kamili,,,,, |