Mkuu wa Mkoa Mara Malima aeleza Mikakati ya Mkoa kwa Waziri wa Kilimo Dk...



Mkuu
wa Mkoa wa Mara Adam Malima akieleza Kwa Waziri wa Kilimo Dk Charles
Tizeba Mikakati ya Mkoa katika Uboreshaji wa Zao la kahawa katika Wilaya
ya Tarime, Serengeti, Butiama na Rorya kutoka Tani Elfu mbili mpaka
Elfu Kumi ikiwa ni pamoja na kuzalisha Miche ya kutosha ya  kahawa ya
Chotara.

,,,Tazama Video hapa chini alichoseka Mkuu wa Mkoa Mara,,,,
Powered by Blogger.