VIDEO: Mama Kanumba Anena mazito kuhusiana na mahaba yake kwa wema sepetu na kumchukia LULU
Mama mzani wa aliekuwa msanii machachari wa Tasnia ya filsmu nchi
Florence Mtegoa (Mama Kanumba) amenena mazito kuhusiana na jinsi
anavyompenda wema sepetu na kusema kuwa kati ya wema sepetu na lulu kwa
upande wake kama mwanae angeamua kua basi yeye kwa upande wake
angemchaua wema kutokana na heshima yake na hakuwahi kumvunjia heshima,
na kuendelea kutoa nasaha kwa Lulu ambae kwa sasa anatumikia kifungo
chake jela kwa kosa la kuua bila kukusudia kumtaka akitoka jela amrudie
mungu wake.

,,,TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI,,,