VIDEO: Roma Mkatoliki Atinga BASATA



Rapa Roma Mkatoliki ambaye alifungiwa na Baraza la Sanaa BASATA
kutojihusisha na muziki kwa kipindi cha miezi sita, leo Roma ametinga
katika ofisi za Basata kukamilisha usajili wake kwa baraza hilo ikiwa ni
maagizo kutoka Serikalini. Nyota huyo amefunguliwa kifungo chake hicho
na sasa yupo huru kufanya muziki.





TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.
Powered by Blogger.