Luoga aomba Mgodi wa ACACIA North Mara kuunga Mkono katika ujenzi wa Nyu...
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akiongea katika hafla fupi ya kukabidhi vitu mbalimbali vilivyotolewa na Wanawake wafanyakazi wa Mgodi wa Uchimbaji wa Dhahabu ACACIA North Mara katika Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani ambapo maadhimisho hayo, wameyafanya kwa kutembelea Gereza la Wanawake Tarime, ambapo Mkuu wa Wilaya huyo amesema kuwa ameomba uongozi wa Mgodi kumuunga Mkono katika Ujenzi wa Nyumba 100 za Jeshi la Polisi na Magereza zoezi ambalo anaendelea nalo kwa sasa. |
Tazama Video hapa chini. |