DC Luoga Wanawake wanafanya kazi Nyingi kuliko Wanaume
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akiongea katika hafla fupi ya kukabidhi vitu mbalimbali vilivyotolewa na Wanawake wafanyakazi wa Mgodi wa Uchimbaji wa Dhahabu ACACIA North Mara katika siku ya kuadhimisha siku ya wanawake Duniani ambapo maadhimisho hayo, wameyafanya kwa kutembelea Gereza la Wanawake Tarime, ambapo Mkuu wa Wilaya huyo amesema kuwa tafiti zinaonyesha kuwa Wanawake wanafanya kazi kwa masaa 16-18 kwa siku ikiwa kwamba wanawake hao wana masaa 6-8 tu ya kulala kwa siku.. |