TRA Mara Waomba UVCCM Tarime kutoa Elimu kwa bodaboda wasibebe Magendo
Kaimu Meneja Forodha Mkoa wa Mara Laurent Gabriel akiongea na Viongozi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilayani Tarime Mkoani Mara walipotembelea ofisini hapo, ambapo ameomba umoja huo kuendelea kushirikiana vyema na TRA ili kutoa Elimu kwa Waendesha pikipiki maarufu Bodaboda ili kuondokana na Ubebaji wa Magendo suala ambalo linasababisha kutaifishwa kwa vyombo vyao vya Moto. |
Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Tarime Godfrey Francis akiongea katika kikao hicho na kuhaidi kushirikiana vyema na TRA kwa kuwapa Vijana Elimu pamoja na wafanyabiashara wanaokwepa kulipa Kodi. |
Kulia ni Katibu wa UVCCM Wilaya ya Tarime Newton Mwongi. |
Tazama Video hapa chini TRA na UVCCM Walichokisema. |