Katibu CHADEMA Mara atoa Msaada wa Viti 25 Kikundi cha Samartani Tarime
Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara Mwl Chacha Heche akikabidhi Viti 25 kikundi cha Samartani Tuinuane baada ya kuwa Mgeni rasmi katika kuvunja mzunguko wa kikundi hicho hivi karibuni, ambapo alitoa ahadi ya viti hivyo ili wanakikundi wapate sehemu ya kukaa wanapokuwa kwenye kikao chao. |
Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara Mwl Chacha Heche akiongea na Wanakikundi baada ya kukabidhi msaada wa viti 25 ambapo wanakikundi wameunga mkono kwa kuongeza viti 15. |
Kati bu wa CHADEMA Mkoa wa Mara Mwl Chacha Heche akisaini kitabu cha Wageni. |