Wakuu wa Mikoa 10 Ukanda wa Magharibi na kamati za Ulinzi na Usalama wak...
Wakuu wa Mikoa 10 Ukanda wa Magharibi wakiwa katika picha ya Pamoja ambapo wamekutana hii leo Wilayani Tarime Mkoani Mara kwa lengo la kujadili suala zima la Ulinzi na Usalama, Ujirani Mwema ,Masuala ya Uchumi na Viwanda, Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Mama na Mtoto pamoja na Mada nyingine. |
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ambaye ni Mwenyekiti wa kikao hicho akifungua kikao rasmi ameitaja Mikoa inayoshiriki kuwa ni , Mwanza, Mara Singida, Shinyanga, Tabora,Kagera,Kigoma,Katavi, Simiyu na Geita. |
Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima ambaye ni Mwenyeji katika kikao hicho pia Makamu Mwenyekiti akiwasilisha Mada zitakazojadiliwa katika Kikao hicho. |
Wajumbe wa kikao hicho. |
RPC Tarime Rorya Henry Mwaibambe akiwa katika Kikao hicho. |
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akitoa salamu katika kikao hicho. |
Picha zote na CLEO24NEWS. |
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ambaye ni Mwenyekiti wa kikao hicho akiongoza kikao. |
Katibu tawala Mkoa wa Mara. |
Picha ya pamoja wakuu wa Mikoa na MaRPC. |
Picha ya pamoja na MaRCO. |
Picha ya pamoja na Maofisa uhamiaji kutoka Mikoa kumi |
Picha ya pamoja na Jeshi la Magereza. |
Picha ya pamoja na Jeshi la Zima Moto. |
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Mikoa 10 kutoka Ukanda wa Magharibi mwa Tanzania. |
Picha ya pamoja na watoa Mada katika Kikao hicho. |
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Zainab Telack akiongea na Waandishi wa habari. |
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella akiongea na Waandishi wa habari. |
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akiongea na Waandishi wa habari. |
Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima akiongea na Waandishi wa Habari. |