ACACIA North Mara , watembelea Wafungwa Wanawake Gereza la Tarime
Meneja Mahusiano Mgodi wa Uchimbaji wa Dhahabu ACACIA North Mara Richard Ojendo akikabidhi TV kwa Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga kwa ajili ya Wafungwa Wanawake katika Gereza la Tarime Mkoani Mara. |
Richard Ojendo ambaye ni Meneja Mahusiano kampuni ya Uchimbaji wa Dhahabu ACACIA North Mara akifafanua jambo, ambapo amesema kuwa wanawake wafanyakazi wa Mgodi huo katika Kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani ambayo ufanyika ifikapo 08 Machi kila Mwaka wameamua kuadhimisha siku hiyo kwa kuwatemmbelea Wafungwa Wanawake Gereza la Tarime na kutoa Vitu Mbali zikiwemo Godoro, Blanketi., Ndoo, Mafuta, |
Mkuu wa Gereza la Tarime Kilulu Lukas akitoa Shukrani zake baada ya kupokea msaada huo.
Katibu Tawala Wilaya ya Tarime Mkoani Mara John Marwa akiongea katika hafla hiyo fupi. |
Mmoja wa wanawake anayefanya kazi Mgodini ya kuendesha Magari Makubwa. |
Mmoja wa wanawake ambaye ni fundi wa Magari ya Mgodini huo. |
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akitoka Kwenye Gereza la Wanawake Tarime. |
Mkuu wa Wilaya ya Tarime akiongea na Wananchi waliofika katika hafla hiyo.
Baadhi ya Vifaa vilivyotolewa na Mgodi huo. |
Wananchi waliofika katika hafla hiyo wakisikiliza Mkuu wa Wilaya ya Tarime. |
Picha zote na CLEO24 NEWS. |
Tazama Video hapa chini kupata habari kamili.