JENGO LA CLOUDS MEDIA LINAUNGUA MOTO

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema jengo la Clouds Media linaungua moto. Inaelezwa kuwa sehemu ya jengo hilo imeshika moto na uokoaji unaendelea. Taarifa za awali zinasema moto huo umetokana na hitilafu ya umeme kwenye chumba cha kurushia matangazo cha Clouds TV.

Taarifa zaidi tutawapa hivi punde
Powered by Blogger.