Dc Rorya wanachi tumieni nguvu kubwa kulima zao la Muhogo badala ya zao ...

Mkuu
wa Wilaya ya Rorya Simon Chacha akisisitiza suala zima la Kilimo cha
zao la Muhogo katika maadhimisho ya siku ya Wakulima na Wasindikaji  wa
zao la Mohogo yaliyofanyika katika kijiji cha Nyamasanda Wilayani Rorya
Mkoani Mara, Mkuu wa Wilaya huyo amewataka wananchi kutumia nguvu kubwa
katika kulima zao la muhoga kama walivyokuwa wakitumia nguvu hizo kulima
zao haramu la bangi ambao kwa sasa kamati ya ulinzi na usalama
wanaelekea kutokomeza Wilayani humo.
Powered by Blogger.