Dc Luoga alia na Sheria kumaliza Kilimo haramu cha Bangi
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akiongea na Vyombo vya habari kuhusu taarifa ya uteketezaji wa mashamba ya bangi hekari263.5 ambapo amelia na sheria zifanyiwe marekebisho ili kuwatia nguvuni watumiaji pamoja na walimaji wa zao hilo |
Waandishi wa Habari wakiwa kazini |
TAZAMA VIDEO DC AKILIA NA SHERIA KUBADILISHWA