Mkuu wa Wilaya Wenyeviti wa Vijiji na Watendaji ambao hawakutoa ushiriki...

Mkuu
wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akiliagiza jeshi la polisi Kukamata
Wenyeviti wa Vijiji na Watendaji ambao hawakutoa ushirikiano katika
kuteketeza kilimo cha Bangi hekari263.5 kuwa na wanahuska na kilimo
hicho.
Pia
Mkuu wa Wilaya ameongeza kuwa Mlima Nkongore sasa ni mali ya Jeshi la
Magereza baada ya kamati ya ulinzi na usalama Wilaya kufanya maamuzi kwani
kimekuwa kichaka cha maovu pamoja na kilimo cha bangi.


TAZAMA VIDEO HAPA CHINI DC  AKITOA AGIZO HILO.

Powered by Blogger.