Video na Picha katika Matukio tofauti Kiongozi wa mbio za Mwenge DC Luoga chukua hatua kali viongozi wanaohimiza Kilimo cha Bangi Tarime

Mkuu
wa Wilaya ya Tarime kushoto Glorious Luoga  akikabidhiwa Mwenge wa
Uhuru na Mkuu wa Wilaya ya Rorya Simon Chacha  hii leo ili uweze
kuzindua na kuweka jiwe la Msingi Miradi 12 yenye thamani ya shilingi
Bill3.9 katika Halmashauri ya Mji wa Tarime.

Aliyevaa
Suti Nyeusi mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro
Tindwa katikati ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Elias
Ntiruhungwa  wakiwa katika harakati za kupokea Mwenge wa Uhuru kutoka
wilayani Rorya Mkoani Mara.
Mkuu wa Wilaya ya Rorya Simon Chacha akiongea katika makabidhiano ya Mbio za Mwenge wa Uhuru
Mkuu wa Wilaya  Tarime Glorious Luoga akisalimian na Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Amour Hamad Amour
Mkuu wa Wilaya ya Tarime kushoto akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya roryua Simon Chacha.
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorius Luoga akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka wilaya ya Rorya.
Uzinduzi wa Nyumba za Watumishi Halmashauri ya mji wa Tarime Mkoani Mara.

Kuteketeza Bhangi
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Amour Hamad Amour akiweka jiwe la Msingi katika shule ya Msingi Buguti
Burudani katika viwanja vya Chuo cha Ualimu TTC Tarime Mji.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge akitembelea vibanda
Kutoka
kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tarime Glorious Luoga akifuatiwa na
kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Amour Hamad Amour katikati ni Mkuu wa
Mkoa wa Mara Dkt Charles Mlingwa akifuatiwa Mkurugenzi wa Halmashauri
ya Mji wa Tarime Elisi Ntiruhungwa.

HABARI KAMILI TAZAMA VIDEO.
Powered by Blogger.