Video na Picha katika Matukio tofauti Kiongozi wa mbio za Mwenge DC Luoga chukua hatua kali viongozi wanaohimiza Kilimo cha Bangi Tarime
Mkuu wa Wilaya ya Tarime kushoto Glorious Luoga akikabidhiwa Mwenge wa Uhuru na Mkuu wa Wilaya ya Rorya Simon Chacha hii leo ili uweze kuzindua na kuweka jiwe la Msingi Miradi 12 yenye thamani ya shilingi Bill3.9 katika Halmashauri ya Mji wa Tarime. |
Aliyevaa Suti Nyeusi mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa katikati ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Elias Ntiruhungwa wakiwa katika harakati za kupokea Mwenge wa Uhuru kutoka wilayani Rorya Mkoani Mara. |
Mkuu wa Wilaya ya Rorya Simon Chacha akiongea katika makabidhiano ya Mbio za Mwenge wa Uhuru |
Mkuu wa Wilaya Tarime Glorious Luoga akisalimian na Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Amour Hamad Amour |
Mkuu wa Wilaya ya Tarime kushoto akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya roryua Simon Chacha. |
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorius Luoga akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka wilaya ya Rorya. |
Uzinduzi wa Nyumba za Watumishi Halmashauri ya mji wa Tarime Mkoani Mara. |
Kuteketeza Bhangi |
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Amour Hamad Amour akiweka jiwe la Msingi katika shule ya Msingi Buguti |
Burudani katika viwanja vya Chuo cha Ualimu TTC Tarime Mji. |
Kiongozi wa Mbio za Mwenge akitembelea vibanda |
Kutoka kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tarime Glorious Luoga akifuatiwa na kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Amour Hamad Amour katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt Charles Mlingwa akifuatiwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Elisi Ntiruhungwa. |
HABARI KAMILI TAZAMA VIDEO. |