Akina mama watakiwa kijifungulia katika Vituo vya Afya


Kiongozi
wa Mbio za Mwenge Kitaifa Amour Hamad Amour akizindua Zahanati ya
Nkongore hii leo katika Mbio za Mwenge wa Uhuru ambapo umezindua na
kuweka jiwe  la Msingi Miradi 12 yenye thamani ya shilingi Billioni 3.9
Katika Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara.

 Mganga
Mkuu Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara Calvin
Mwasha akisoma taarifa kwa kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Amour
Hamad Amour
 

TAZAMA VIDEO KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AKIHIMIZA AKINA MAMA KUJIFUNGULIA KATIKA HOSPTAL, VITUO VYA AFYA  NA ZAHANATI.


Powered by Blogger.