MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA, MHE. SAMIA SULUHU AFUNGUA KONGAMANO LA WOMEN ADVANCING AFRICA(WAA)
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu akizungumza kwenye
kongamano la wanawake la Women Advancing Africa (WAA)lenye lengo la
kutatua changamoto na kuendesha maendeleo ya kiuchumi Afrika jana,
Kongamano linaloendelea jijini Dar Es Salaam na kumalizika siku ya
jumamosi.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu na Mama Graca Machel
wakiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa kongamano la WAA.