JAFFO AWAAGIZA WATUMISHI WA HALMASHAURI KUTUMIKIA WANACHI VYEMA
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Suleiman Jaffo akiongea na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Mkoani Mara |
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Mkoani Mara wakimsikiliza Naibu waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Suleiman Jaffo
TAZAMA VIDEO KUONA ALICHAAGIZA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI ZOTE HAPA NCHINI.