CDF WATUMIA MICHEZO KUFIKISHA ELIMU YA KUPIGA VITA UKATILI WA KIJINSIA K...

Mabinti
kutoka kata ya Nyanungu Wilayani Tarime Mkoani Mara wakicheza Mpira
baada ya Michezo mbalimbali yakiwemo Maigizo, Nyimbo na Ngonjera kwa
lengo la kufikisha Elimu iliyokusudiwa kwa jamii.
 
Jakwaa
la Utu wa Mtoto CDF kwa kushirikiana na Shirika la RIGHT TO PLAY
wameandaa michezo hiyo kwa lengo la kufikisha elimu katika jamii ili 
kuondokana na ukatili wa Kijinsia ukiwemo ukeketaji na Ndoa za Utotoni.

Wazee wakisikiliza ujumbe mbalimbali.
Nyimbo zenye ujumbe kuhusu masuala ya kupinga Ukatili wa Kijinsia
Maigizo yenye ujumbe
Tunatazama Michezo

Nyimbo zenye ujumbe

Risala
Kijana akisisitiza jambo kuwa Elimu ni kwa watoto wote jamii iondokane na ubaguzi
Sisi wasichana tuna haki ya kusoma
Kambibi
Kamugisha kutoka Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto CDF akifafanua jambo
kuhusu umhimu wa Michezo iliyoanzishwa katika Kata Mbalimbali.
Michezo inaendelea
TAZAMA VIDEO KUPATA HABARI KAMILI.
Powered by Blogger.