GRUMETI FUND WATOA MSAADA WA VITANDA 15 KWA SHULE YA SERENGETI SEKONDARI VYENYE THAMANI YA MILL7.3.
Mbali na hayo juhudi za serikali zimefanyika
na kuletwa kiasi cha Shilingi Millioni Sitini na Sita na Laki sita ili
kukarabati Bweni hilo ambapo ukarabati huo unaendelea
Wanafunzi Shule ya Sekondari Serengeti. |
hh |
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Juma Hamsin akionesha ukarabati wa Bweni hilo unavyoendelea kwa kasi baada ya kupokea kiasi cha Shilingi Millioni Sitini na Sita na laki sita kutoka Serikalini ili kufanya ukarabati |
Ukarabati unaendelea vizuri |
Wa
kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya Serengeti Juma
Hamsin akifuatia Mbunge wa Jimbo la Serengeti Marwa Ryoba na Katikati ni
Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Nurdin Babu.
Frida Mollel Mkuu wa idara yaMaendeleoya Jamii Singita Grumeti Fund akiongea na Wanafunzi pamoja na Viongozi kabla ya kukabidhi msaada huo wa Vitanda 15 vyenye thamani ya Shilingi Mill7.3 |
Mkuu wa Wilaya ya Seremgeti kulia Nurdin Babu akikabidhi vitanda hivyo kwa Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Juma Hamsin. |
Wanafunzi tunashukuru sana Grumeti
Mkurugenzi akitoa Shukrani |
Mbunge wa Jimbo la Serengeti akitoa Shukrani zake pia |
Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Nurdin Babu akisisitiza jambo baada ya kupookea msaada huo na kukemea sula zima la Mimba Mashuleni. |
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI