VIDEO NA PICHA KATIKA MATUKIO :BAWACHA KANDA YA SERENGETI WAPEWA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI


Selemani
Bishagazi Mwalimu wa Ujasiriamali kutoka Shirika la TGNP Mtandao 
akitoa mafunzo  ya ujasiriamali kwa Viongozi wanawake BAWACHA  kutoka
kanda ya Serengeti 


Mafunzo
hayo yameandaliwa na Mbunge wa Viti Maalum  Mkoa wa Mara Catherine Ruge
kwa kushirikiana na Shirika la TGNP Mtandao na kufanyika katika ukumbi
wa Shalom Mjini Bunda huku kauli mbiu ikisema kuwa Pokea Nyavu, Tuvue
Siasa ni Uchumi.









Katikati
ni Mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Mafunzo hayo Mbunge wa Tarime Mjini
Esther Matiko ambaye pia ni mwenyekiti baraza la wanawake CHADEMA Mkoa
wa Mara BAWACHA kutoka kulia ni Katibu wa CHADEMA Kanda ya Serengeti
Renatus Nzema kutoka kulia ni Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Mkoa wa
Mara Catherine Ruge






Viongozi BAWACHA na Madiwani kutoka kanda ya Serengeti wakisikiliza Mafunzo

Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Mkoa wa Mara Catherine Ruge





Mbunge
wa Viti Maalum CHADEMA Mkoa wa Mara Catherine Ruge akiongea na
Viongozi, Wanawake CHADEMA, Madiwani Viti Maalum kutoka kanda ya
Serengeti katika Mafunzo ya Ujasiriamali aliyoaandaa kwa kushirikiana na
Shirika la TGNP Mtandao.







Katibu wa CHADEMA Kanda ya Serengeti Renatus Nzemo akisisitiza jambo katika Mafunzo hayo ya Vitendo

Mbunge wa jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko ambaye ni Mgeni rasmi katika ufunguzi wa mafunzo hayo akitoa salamu ya Chama hicho



Mgeni
rasmi katika ufunguzi wa Mafunzo hayo Mbunge jimbo la Tarime Mjini
Matiko ambaye pia ni Mwenyekiti BAWACHA Mkoa wa Mara akisisitiza akina
mama hao kutumia vyema mafunzo waliyoyapata hadi yanafika ngzi za chini.





Emmanuel
Allute Kiongozi wa Utawala, Uchumi na Fedha Kanda ya Serengeti
akisisitiza jambo kwa Viongozi BAWACHA baada ya kupewa Mafunzo hayo ya
Vitendo



Selemani
Bishagazi Mwalimu wa Ujasiriamali kutoka Shirika la TGNP Mtandao
akitoa mafunzo ya ujasiriamali kwa Kwa Vitendo ni Viongozi wanawake
BAWACHA kutoka kanda ya Serengeti Mjini Bunda
.









Mkufunzi akieleza Jinsi ya kulima Mboga za Majani maeneo ya Nyumbani


Mbunge
Matiko na Wabunge wa Viti Maalimu CHADEMA Mkoa wa Mara Catherine ruge
na Joyce Sokombi wakiwa katika Mafunzo ya Ujasiriamali kwa Vitendo.
PICHA ZOTE NA CLEO24NEWS UKIWA NA HABARI MATANGAZO PIGA SIMU NO 0766424928.
Katikati
ni Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Mara Catherine Ruge kulia ni Mbunge Viti
Maalum Mkoa wa Mara Joyce Sokombi na wa kwanza kushoto ni Mbunge Jimbo
la Tarime Mjini CHADEMA Esther Matiko.


Picha ya Pamoja



TAZAMA
VIDEO HAPA CHINI KUPATA HABARI KAMILI KUHUSU MAFUNZO HAYO YA
UJASIRIAMALI KWA VIONGOZI WANAWAKE CHADEMA  KANDA YA SERENGETI .
Powered by Blogger.