Wateja Wa Vodacom Waichangamkia RED RLX Katika Maonesho Ya Sabasaba
Kampuni ya simu za mkononi
inayoongoza nchini, Vodacom Tanzania inashiriki Maonesho ya 41 ya Viwanda na
Biashara maarufu kama “Sabasaba” ambapo mamia ya wateja wameoneshwa
kufurahishwa na kujiunga na huduma mpya inayojulikana kama “RED RLX” ikiwa ni
miongoni mwa huduma nyingi zinatolewa bandani hapo.
Huduma hii ni mpango
unaojumuisha vifurushi na kulipa kadri mteja atumiavyo na lengo ni kuwafanya
wateja wa Vodacom waishi bila wasiwasi linapokuja suala la mawasiliano.
Vifurushi hivi vina dakika nyingi, MB za intaneti nyingi, SMS nyingi na pia
dakika za kupiga simu nje ya nchi.
Wakati mteja anaponunua kifurushi cha RED,
anaweza kuchagua huduma ya kifurushi cha kujirudia (kujinunua tena) kila
kinapoisha muda wake au kununua mara moja tu.

Mteja wa
Vodacom akinunua bando ya RED, atapata nafasi na kipaumbele ya
kuhudumiwa bila kukaa kwenye foleni wakati akitembelea duka lolote la kampuni
hiyo, atapata huduma ya SOKONI App BURE, taarifa fupi ya M-Pesa BURE pindi
anapohitaji na huduma ya kipekee pindi atakapowasiliana na huduma kwa wateja. Ili mteja ajiunge na kunufaika
na kifurushi hiki anatakiwa kupiga *149*01# na Chagua RED na
ataona vifurushi hivi vya RED.

Kifurushi cha Silver
- TZS 30,000
- 600 Dakika (Mitandao Yote)
- 3GB Data
- 3,000 SMS
Kifurushi cha Gold
- TZS 50,000
- 1,000 Dakika (Mitandao Yote)
- 7GB Data
- 7,000 SMS
Kifurushi cha Platinum
- TZS 95,000
- 2,500 Dakika (Mitandao
Yote) - 30 Dakika (Kimataifa)
- 20GB Data
- 15,000 SMS