TAMASHA KUBWA LA CASTLE LITE UNLOCKS LAFANA JIJINI DAR ES SALAAM
Msanii Diamond Platinumz akiwa katika jukwaa la castle lite unlocks akiwakonga wapenzi wa burudani usiku wa kuamkia leo
Msanii Casper Nyovest akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki.
Msanii toka Marekani FUTURE akiwa jukwaani kwenye tamasha kubwa la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo
.Msanii kutoka Afrika kusini Casper
Nyovest akifanya mahojiano na waandishi wa habari wakiongozwa na Taji
Liundi pembeni yake usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha kubwa la castle
lite unlocks viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam
Wasanii Nevy Kenzo wakizungumza na waandishi wa habari kwenye tamasha la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo
Msanii Diamond akizungumza na waandishi
wa habari wakiongozwa na Taji Liundi kabla ya kupanda kwenye jukwaa la
castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo
Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders
Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders
Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders