Shule 10 za Mwisho matokeo ya kidato cha sita
Ni
kilio na kicheko. Hivyo ndivyo tutakavyoweza kusema, kwani matokeo ya
kidato cha sita, yaliyotangazwa leo Jumamosi, Julai 15 yamezitaja shule
kumi zilizofanya vibaya na kushika mkia kitaifa.
Shule
hizo ni Kiembesamaki Unguja, Hagafilo (Njombe), Chasasa (Pemba),
Mwenyeheri Anuarite (Dar es Salaam) na Ben Bella (Unguja).
Nyingine zilizotajwa kushika mkia ni Meta (Mbeya), Mlima Mbeya(Mbeya)
Nyingine ni Shule ya Sekondari ya Al-Ihsan Girls (Unguja na St Vicent(Tabora).