JESHI LA POLISI TARIME RORYA HALI YA USALAMA NI NZURI
Kamishna wa jeshi la Polisi Tarime Rorya ACP Sweetbert Njewike akiongea jinsi jeshi la polisi linavyoendelea kulinda suala la Amani yakiwemo maeneo ya Nyamongo ni katika Mkutano wa wadau ambao umeshirikisha wazee wa Mila, Viongozi wa Dini, Wenyeviti wa vijiji na kata zinazozunguka Mgodi wa ACACIA Wadau wa Habari kwa lengo la kuzungumzia suala zima la Amani. |
Morris Okinda OCD Wilaya ya Kipolisi Nyamwaga akiongea katika Mkutano huo.
Meneja Msaidizi Mratibu Mradi Search For Common Ground Mkoa wa Mara Ulumbi Elias akieleza lengo la Mkutano huo
TAZAMA VIDEO JESHI LA POLISI LINAZUNGUMZIA SUALA ZIMA LA USALAMA MKOA WA POLISI TARIME RORYA