VIDEO: PICHA KATIKA MATUKIO TOFAUTI MAONI YA WADAU KUHUSU MKUTANO WA UTATUZI WA MIGOGORO NA UJENZI WA AMANI MARA KASKAZINI
Msaidizi Mratibu Mradi Search For Common Ground Ulumbi Elias akifafanua
jambo katika Mkutano wa wadau Ngazi ya Wilaya katika utatuzi wa
Migogoro na Ujenzi wa Amani Mara -Kaskazini hii leo uliofanyika katika
Ukumbi wa Blue SkyMjini Tarime Mkoani Mara kwa kushirikisha wadau
mbalimbali Wazee wa Mila, Viongozi wa Dini, Vyombo vya Habari,
Madiwani, Watendaji wa Kata na wenyeviti wa vijiji vinavyozunguka mgodi
wa ACACIA North Mara.
Mwenyekiti wa Clab ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mara (MRPC) Muguni Jacob akiwasilisha Mada juu ya Vyombo vya Habari katika kuripoti Habari za Maendeleo |
Afisa Jamii Msaidizi Seach For Common Ground Mara Anthony Guninita akifafanua jambo katika Mkutano huo |
Afisa Tafiti, Tathimini na Jamii Msira ,Mageni Shirika la Search For Common Ground Mara akiwasilisha Mada katika Mkutano huo
Wadau wakiwa katika Kikao |
Viongozi wawakilishi kampuni ya Uchimbaji wa Dhahabu ACACIA North Mara katika
picha ya pamoja na Meza kuu wakiwepo Viongozi wa kamati ya ulinzi na
usalama
Wenyeviti wa vijiji vinavyozunguka Mgodi wa ACACIA North katika
picha ya pamoja na Meza kuu wakiwepo Viongozi wa kamati ya ulinzi na
usalama
Kaimu Kiongozi Idara ya Mahusiano ACACIA Norht Mara Annamaria Baisi akiwasilisha mada kuhusu Mgodi unavyochangia katika suala zima la kusadia Jamii kwa ujumla katika Sekta ya Elimu na Afya. |
Majadiliano |
Meneja
Msaidizi Mratibu Mradi Search For Common Ground Ulumbi Elias akioneshwa
jambo na mkurugenzi Mtendaji wa CLE24NEWS Frankius Cleophace.
VIDEO MAONI YA WADAU KUHUSU MKUTANO HUO WA ULIANDALIWA NA SHIRIKA LA
SEARCH FOR COMMON GROUND KWA AJILI YA KIJADILI MIGOGORO NA UJENZI WA
AMANI MARA-KASKAZINI.