Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Amri ya Rais (Presidential
Order) kuifuta Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA, tukio
lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Mei 15, 2017.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya
kusaini Amri ya Rais (Presidential Order) kuifuta Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA, tukio
lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Viongozi
mbalimbali wa Serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana
wakifatilia kwa makini Hotuba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya
kutia saini Amri ya Rais (Presidential Order) kuifuta Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDADodoma
,tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Katiba
na Sheria akisoma Rasimu ya Amri ya Rais (Presidential Order) kabla ya Rais
Dkt. John Pombe Magufuli kuisaini ili kuifuta, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais
Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Ardhi William
Lukuvi wakifatilia kwa makini wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza mara baada ya kuifuta Mamlaka ya
Ustawishaji Makao Makuu CDA,tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais
Samia Suluhu Hassan akizungumza katika wakati wa tukio hilo
Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza wakati wa tukio hilo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CDA Eng. Paskasi Muragili mara baada
ya kuifuta mamlaka hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja
na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi, Waziri wa Ardhi William Lukuvi, Waziri wa
Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri mkuu,
Kazi, Vijana na Ajira Anthony Mavunde pamoja na Mwenyekiti wa CCM mkoani Dodoma
Adam Kimbisa mara baada ya kuifuta Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA,tukio
lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.(PICHA NA IKULU)