Wazazi watakiwa kutoa malezi bora kwa watoto


Wanafunzi wa shule za msingi kutoka shule 16 katika Halmashauri ya mji wa Tarime mkoani Mara wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mdahalo ambao ulikuwa unazungungumzia masuala mazima ya kupiga vita mila potofu,na Haki za mtoto kupitia maswali na majibu katika ukumbi wa PKM Mdahalo huo umeandaliwa na Asasi isiyokuwa ya kiserikali YOUTH MINDSET FOUNDATION.

Wanafunzi wa shule za Msingi  kutoka shuleza 16 Katika Halmashauri ya Mji wa Tarime mkoani Mara wakiwasilisha mada zao pamoja na, Maswali pamoja na Majibu katika mdahalo huo


Wanafunzi wa shule za Msingi  kutoka shule 16 Katika Halmashauri ya Mji wa Tarime mkoani Mara wakiwasilisha mada zao pamoja na, Maswali pamoja na Majibu katika mdahalo huo


Wanafunzi wa shule za Msingi  kutoka shule 16 Katika Halmashauri ya Mji wa Tarime mkoani Mara wakiwasilisha mada zao pamoja na, Maswali pamoja na Majibu katika mdahalo huo

Wanafunzi wa shule za Msingi  kutoka shuleza  16 Katika Halmashauri ya Mji wa Tarime mkoani Mara wakiwasilisha mada zao pamoja na, Maswali pamoja na Majibu katika mdahalo huo



Baadhi ya wanafunzi wakiuliza maswali baada ya mada kuwasilishwa na wanafunzi wenzao katika mdahalo huo.

Mmoja wa wanafunzi akijibu baadhi ya Maswali.


Mkurugenzi wa Asasi ya YOUTH MINDSET FOUNDATION Father Cleophace Sabure akiongea na wanafunzi hao katika mdahalo huo


Walimu 

 


Grace Nashon kutoka shule ya msingi Nyamisangura akiwasilisha mada.

Daniel Agai Mwalimu kutoka shule ya Msingi Mturu akiwasilisha mada

Fatuma Zuberi mwalimu kutoaka shule ya msinngi Nkende akiwasilisha Mada

 


Claud Mtweve kutoka Dawati la Polisi akiwasilisha Mada katika Mdahalo huo

Clara Schopfel kutoka kituo cha Jipe Moyo Centre akiongea na Wanafunzi hao ambapo amewapongeza kutambua haki zao za Msingi.

Kaimu Afisa Elimu Msingi Halmashauri ya Mji wa Tarime Nyadhi Laurence Onditi akisisitiza jambo latika Mdahalo huo



Wanafunzi katika mdahalo huo wamedai  kuwa jamii kwa ujumla wakiwemo wazazi na walezi hawana budi kuwapa haki zao za msingi ikiwemo Elimu Malezi  bora.

 



Kwa upande wake mkurugenzi wa Asasi isiyokuwa ya kiserikali YOUTH MINDSET FOUNDATION  Father  Cleophace Sabure amesema kuwa wameamua kuunda klabu mbalimbali katika shule za msingi kwa lengo la kutoa Elimu ya kijinsia pamoja na haki za watoto ili watoto hao waweze kutambua na kujua hakizao za msingi na kuwa mabalozi wa kutoa elimu katika jamii iliyowazunguka.

 



Hata hivyo Sabure amewataka watoto hao ambao pia ni wanachama kuendeleza mienendo mizuri katika klabu zao kwa kutiii walimu, Wazazi na walezi katika mazingira wanayoishi.

 



Aidha Wanafunzi hao wamedai kuwa sasa kuna haja kubwa ya jamii kuondokana na masuala mazima ya ukatili wa kijinsia ukiwemo ukeketaji kwa mtoto  wa Kike huku jamii ikihaswa kutoa haki sawa katika elimu kwani mtoto wa kike amekuwa akibaguliwa katika jamii hususani suala zima la kupewa Elimu.

 



“Sasa wakati umefika mkoa wa mara usiongelewa katika masuala mazima ya ukeketaji elimu ya kutosha imetolewa tupinge kwa pamoja”  walisema Watoto.



Mdahalo huo umeshirikisha shule 16 za msingi kupitia wanafunzi ambao wako ndani ya klabu zilizoundwa na Asasa hiyo nakufanyika katika ukumbi wa PKM Hotel Mjini Tarime Mkoani Mara.



  



 



 

Powered by Blogger.