Viongozi wa Dini, Mila na jamii watoa Tamko juu ya kupiga vita Ukatili wa kijinsia

Washiriki wa Seminia iliyoandaliwa na Shirika la TGNP Mtandao kutoka jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutoa tamko la pamoja juu ya kupiga vita ukatili wa kijinsia katika wilaya ya Tarime kupitia Viongzi wa Dini, Wazee wa Mila,Viongzi wa Jamii na Asasi.


Washiriki wa Mafunzo juu ya uelewa wa masuala ya kijinsia wakifuatilia somo

Kushoto ni Jacob Mwita Masiaga kutoka kata ya Regicheri kulia kwake ni Esther Laurent wakitoa Tamko la pamoja juu ya kupiga vita masuala mazima ya ukatili wa kijinsia ukiwemo Ukeketaji na Ndoa za Utotoni baada ya kupewa mafunzo kwa siku tatu kutoka TGNP Mtandao  katika Ukumbi wa Mroni Mjini Tarime.

Washirki


Rehema Mwateba kutoka TGNP Mtandao akisisitiza jambo katika Warsha hiyo ilifanyika siku tatu ili kujengewa Viongozi wa Dini, Wazee wa Mila, Viongozi wa Jamii na Asasi uelewa juu ya masuala ya ukatili wa kijinsia ukiwemo ukeketaji Ndoa za utotoni na vipigo kwa wanawake amesema kuwa wameamua kutoa tamko la pamoja ili kuunganisha nguvu ya pamoja  katika kupmabana na masuala ya ukatili wa kijinsia katika wilaya ya Tarime Mkoani Mara.


Washiriki wa Warsha hiyo


Powered by Blogger.