Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.
Dkt Harrison George Mwakyembe na aliyekuwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakikabidhiana hati za makabidhiano rasmi ya Ofisi yaliyofanyika katika Ofisi za
Wizara Mjini Dodoma .
|