MBUNGE ESTHER MATIKO ATEMBELEA SHULE YA MSINGI BUGUTI ANGALIA PICHA KATIKA MATUKIO TOFAUTI
Mbunge wa jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko akiongea na wanafunzi wa shule ya Msingi Buguti Mjini Tarime Mkoani Mara kipindi alipotembelea shule hiyo. |
Mbunge akisani kitabu cha wageni katika ofisi ya Mwalimu Mkuu shule ya Msingi Buguti |
Mwalimu Mkuu shule ya Msingi Buguti akiongea mbele ya Mbunge kuhusu changamoto zinazokumba shule hiyo. |
Ujenzi wa shule mpya Buguti ili kupunguza msongamano wa wanafunzi pamoja na kusoma kwa zamu jambo ambalo linachangia kushuka kwa taaluma. |
Mwalimu Mkuu shule ya Buguti Nkongo Wandiba akionesha majengo yanayojengwa kwa nguvu za Wanachi pamoja na mfuko wa jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko. |
Ujenzi unaendelea |
Uchimbaji wa shimo la Choo cha walimu shule ya Msingi Buguti. |
Mwenyekiti wa Kamati ya shule ya Buguti..
|
Diwani wa kata ya Turwa Zakayo Wangwe akiongea na Wanafunzi wa shule ya Msingi Buguti. |
Mbunge akieleza Mikakati ya kutatua changamoto ya Elimu katika Jimbo lake. |