MBUNGE AZINDUA DARAJA LA MTO SAGAIMITI KATA YA KITARE MJINI TARIME.

Mbunge wa jimbo la Tarime mjini Esther Matiko CHADEMA  akizindua rasmi Daraja la Mto Sagaimiti katika Mtaa wa Nsoma Kata ya Kitare Halmashauri ya Mji wa TarimeMkoani Mara kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Khamis Nyanswi kulia ni Diwani wa kata ya Kitare Charles Kasuku.


Daraja la Mto Sagaimiti baada ya kuzinduliwa na Mbunge Matiko



Diwani wa kata ya Kitare  Charles Kasuku  akiongea na wanachi wa Mtaa wa Nsomba.


Akiwasilisha Taarifa kwa Mbunge.

Mbunge wa jimbo la Tarime Mjini Matiko akiongea na wananchi wa Mtaa wa Nsomba kata ya kitare baada ya kuzindua Daraja la Mto Sagaimiti.




Powered by Blogger.