ANGALIA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI MBUNGE WA TARIME MJINI MATIKO ALIPOTEMBELEA SHULE YA MSINGI TARIME
Mbunge wa jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko akitembelea shule ya Msingi Tarime kwa ajili ya kukagua ujenzi unaoendelea kutokana na fedha za mfuko wa jimbo pamoja na Nguvu za wanachi wake. |
Ujenzi wa shule ya msingi Tarime. |
Mwalimu mkuu shule ya msingi Tarime akieleza Mbunge changamoto zinazokumba shule hiyo na ujenzi ulipofikia. |
Mwenyeikiti wa Mtaa akibainisha jambo kwa Mbunge. |
Mbungea akiongea na wanafunzi wa shule ya msingi Tarime |
Mbunge akikabidhi vifaa vya Michezo. |