Mbunge wa jimbo la Tarime Mjini Matiko akieleza kile atakachoenda kuwasilisha katibu Bunge baada ya kupokea changamoto zinazokumba ofisi ya Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa polisi Tarime Rorya.
Mbunge huyo amesema kuwa suala la mtambo wa kutoa leseni atalifikisha kwa waziri mwenye dhamana na serikali kwa ujumla kwa kushirikiana na wabunge wa mkoa wa wa polisi Tarime Rorya akiwemo Mbunge wa Tarime Vijijini CHADEMA Jonh Heche Mbunge wa Rorya CCM Lamecj Airo na wabunge waote wa Viti maalumu atawashirikisha ili kutatua baadhi ya changamoto zilizobaki.
|