GRACA MACHEL ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA BABA WA TAIFA HAYATI MWL: JULIUS KAMBARAGE NYERERE BUTIAMA ANGALIA PICHA KATIKA MATUKIO.
Mama Graca Machel aliyekuwa mke wa Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela katikati akiwa na Madaraka Nyererekatika Eneo la Mwitongo katika makumbusho ya Baba wa Taifa Hayati julius Kambarage Nyerere. |
| Add caption |
DC akikaribisha wageni |
Graca Machel akitembelea maeneo ya Baba wa Taifa. |
Graca Machel akiweka shada la maua katika kaburi la Chief Edward Nyerere ambaye alizaliwa Mwaka 1910 na kufariki dunia 09 Machi 1997 |
Akisali baada ya kuweka shada la maua katika kaburi la Chief Edward nyerere. |
Kaburi la Chief Edward Nyerere |
Graca Machel akiweka shada la maua katika kaburi la Baba wa Taifa Hayati Mwl: Julius Kambarage Nyerere |
Kaburi la Baba wa Taifa |
Akipanda Mti wa kumbukumbu Graca Machel baada ya kuweka shada la maua katika kaburi la Baba wa Taifa Hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere. |
PICHA ZOTE NA CLEONEWSTZ: |