GRACA MACHEL ASISITIZA SUALA LA ELIMU MKOA WA MARA AFANYA ZIARA BUTIAMA ANGALIA MATUKIO KATIKA PICHA
Wanafunzi wa shule ya Msingi Butiama wakitoa Burudani mbele ya mgerni rasmi |
Wanafunzi ambao wako nje ya mfumo wa shule MEMKWA katika shule ya msingi Nyamisisi wakisikilia Graca Machel baada ya kutembelea shule hiyo |
Wanafunzi ambao wako nje ya mfumo wa shule MEMKWA katika shule ya msingi Nyamisisi wakisikilia Graca Machel baada ya kutembelea shule hiyo |
Akiteta jambo na Mkuu wa wilaya ya Butiama |
Mkuu wa wilaya ya Butiama Annarose Nyamubi akicheza ngoma |
Graca Machel akicheza ngoma na wanafunzi wa shule ya msingi Nyamisisi |
Kulia ni Mwanzilishi wa MEMKWA Tanzania Naomi Katunzi akisisitiza umhimu wa Elimu ya MEMKWA |
Mkuu wa wilaya ya Butiama Annarose Nyamubi akikumbatia Graca Machel kwa Furaha |
Graca Machel akiongea na wanafunzi wa shule ya msingi Nyamisisi Butiama na kusistiza suala zima la umhimu wa Elimu. |
Graca Machel akiongea na wazazi walezi wa wanafunzi wakiwemo wanafunzi wa MEMKWA amesema kuwa wazazi watoe yushirikiano wa kutosha ili kuwezesha watoto wao kutimiza ndoto ya kielimu. |
Graca Machel akiwa darasani |
Wanafunzi wa MEMKWA katika picha ya pamoja |
Graca Machel akipanda Mti kwa ajili ya kumbukumbu katika shule ya msingi Nyamisisi Butiama |