Home/
Unlabelled
/ANGALIO VIDEO YA GRACA MACHEL ASISITIZA ELIMU BUTIAMA ILI KUFUATA NYAYO ZA BABA WA TAIFA. Graca Machel aliyekuwa Mke wa Nelson Mandela Rais wa Afrika kusini asisitiza sualala Elimu katika wilaya ya Butiama mkoani Mara asema kuna haja kubwa ya wilaya hiyo kuwa ya mfano katika mkoa kwa sababu Baba wa Taifa Hayati Mwl Julius Nyerere anatoka wilaya hiyo na alikuwa anapenda sana Elimu.
ANGALIO VIDEO YA GRACA MACHEL ASISITIZA ELIMU BUTIAMA ILI KUFUATA NYAYO ZA BABA WA TAIFA. Graca Machel aliyekuwa Mke wa Nelson Mandela Rais wa Afrika kusini asisitiza sualala Elimu katika wilaya ya Butiama mkoani Mara asema kuna haja kubwa ya wilaya hiyo kuwa ya mfano katika mkoa kwa sababu Baba wa Taifa Hayati Mwl Julius Nyerere anatoka wilaya hiyo na alikuwa anapenda sana Elimu.