MAMA GRACA MACHEL , APOKEA RIPOTI YA UTAFITI WA WATOTO WALIO NJE YA MFUMO WA SHULE MKOA WA MARA.
Baada ya kupokelea |
Akisaini kitabu cha Wageni |
| Wadau |
Mkuu wa wilaya ya Musoma Vicent Naano akiongea na wadau kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt Charles Mlingwa |
Graca Machel akiongea na Wadau katika Mkutano huo wa kuzindua ripoti. |
Mzee Suguta Nyamhanga mwanafunzi wa Darasa la kwanza miaka 78 shule ya msingi Makerero Tarime akiongea na Askofu wa kanisa Dayosisi ya Musoma Michael Msonganzila baada ya kueleza kile kilichomfanya kwenda shule akiwa na umri mkubwa, |
Waandishi wa habari |
Askofu akiongea na waandishi |
| Graca akiongea na waandishi wa habari |
Mwanzilishi wa MEMKWA Dkt Naomi Katunzi akiongea na waandishi wa habari |
Walimu wanaoandaliwa kwa ajili ya kufundisha wanafunzi wa MEMKWA wakiwa darasani |
Graca akiongea na walimu wanaopata mafunzo kwa ajili ya kufundisha wanafunzi. |