Kamati ya Siasi Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Tarime Mkoani Mara wametakiwa kuripoti Kituo cha Polisi katika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Makosa ya Jinai Mkoa wa Polisi Tarime Rorya.,,,Soma hapa chini Wito huo,,,,,