AUAWA BAADA YA KUINGIA KATIKA BENKI YA NBC TAWI LA TARIME

Kamanda
wa polisi Mkoa wa Polisi Tarime Rorya SACP Henry Mwaibambe akiongea na
waandhi wa habari kuhusu tukio hla Mtu mmoja ambaye hajafaamika jina 
aliyejeruhiwa kwa risasi  na Askari Polisi na badae kufariki dunia 



Mtu Mmoja ambaye hajafaamika jina Mwenye Umri wa Miaka kati
ya 30-35 ameuawa kwa kujeruhiwa na Rsisi 
na Askari  Polisi baada ya kuingia katika Banki ya NBC tawi la Tarime
usiku majira ya saa sita na Dakika Nne katika nji za kutatanisha.



Kamanda mkoa wa kipolisi Tarime na Rorya,Henry
Mwaibambe  amewambia waandishi wa habari
Ofisini kwake kuwa marehemu kabla ya tukio aliingia ndani ya Banki ya NBC kwa
njia ya kutatanisha ambapo alipitia tundu lililo karibu na ATM.
TAZAMA VIDEO KAMANDA AKIFAFANUA TUKIO HILO


Powered by Blogger.